Loading...

Gabriel Jesus ainusuru Manchester City

Gabriel Jesus aliifunga mara mbili likiwemo bao la dakika za ziada na kuiwezesha Manchester City kusonga hadi nafasi ya tatu kwenye ligi kuu katika mechi kali dhid ya Swansea uwanjani Etihad.

Manchester City iliitawala Mechi kipindi cha kwaza likini wao nao walionekana kupata nguvu kipindi cha pili.

Manchester City ilifunga bao lake la kwanza dakika ya 11 baada ya Gabriel Jesus kupata mpira kutoka kwa Raheem Sterling.

Sasa Jusus ameifungia Man City mabao 3 kweney mechi mbili tangu ajiunge nao akitokea Palmeiras.

Changamoto sasa kwa kikosi hiki cha Pep Guardiola ni kuteatea mwendo huu.
Gabriel Jesus ainusuru Manchester City Gabriel Jesus ainusuru Manchester City Reviewed by Zero Degree on 2/05/2017 08:08:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.