Loading...

VIDEO: Goli matata la Lionel Messi wakati Barcelona ilipoichakaza Athletic Bilbao 3-0

Nyota wa FC Barcelona, Lionel Messi akiangalia juu baada ya kufunga kwa mpira wa adhabu dakika ya 40 kuipatia timu yake bao la pili timu yake katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Camp Nou.

Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Paco Alcacer dakika ya 18 na Aleix Vidal dakika ya 67.

VIDEO: Goli matata la Lionel Messi wakati Barcelona ilipoichakaza Athletic Bilbao 3-0 VIDEO: Goli matata la Lionel Messi wakati Barcelona ilipoichakaza Athletic Bilbao 3-0 Reviewed by Zero Degree on 2/05/2017 08:03:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.