Loading...

Hawa ndio waliopewa tuzo ya Mchezaji na Kocha bora wa Ligi Kuu ya Uingereza [EPL] kwa mwezi Januari

Kiungo wa Tottenham, Dele Alli akiwa ameshika tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Januari baada ya kukabidhiwa leo.

Mwanasoka huyo wa kimataifa wa England alifunga mabao matano mwezi uliopita, Spurs ikimaliza bila kupoteza mechi na amemshinda mchezaji mwenzake, Harry Kane, aliyefunga mabao matano pia.


Kocha wa Swansea City, Paul Clement akiwa na tuzo yake ya kocha Bora wa mwezi Januari Ligi Kuu ya England baada ya kukabidhiwa leo.
Hawa ndio waliopewa tuzo ya Mchezaji na Kocha bora wa Ligi Kuu ya Uingereza [EPL] kwa mwezi Januari Hawa ndio waliopewa tuzo ya Mchezaji na Kocha bora wa Ligi Kuu ya Uingereza [EPL] kwa mwezi Januari Reviewed by Zero Degree on 2/11/2017 04:13:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.