Loading...

Msimamo wa sasa wa Ligi Kuu ya Uingereza [EPL] 2016/17 baada ya mechi za wikendi iliyopita

Chelsea ilipoteza fursa ya kuongzoa kwa pointi 12 katika msimamo wa ligi baada ya kutoka sare ya bao moja na Burnley.

Burnley walishinda mechi zao nne za nyumbani bila ya kufungwa bao.

Chelsea waliitawala mechi na ndio walikuw wa kwanza kuona lango la Burnley dakika ya 7 baada ya kuanza kwa mechi.

Hata hivyo Robbie Brady ambaye aliihama Norwich mwezi Januari alisawasisha dakika ya 24.

Matokeo ya mechi hiyo yanaiweka Chelsea mbele na kufungua mwanya wa pointi 10 na klabu za Tottenham na Arsenal katika msimamao wa ligi.

Ligi hiyo inaendelea Siku ya leo, Jumatatu tarehe 13, Januari kwa mechi mwingine kati ya Bournemouth dhidi ya Manchester City saa tano kamili usiku.

MSIMAO WA LIGI KUU YA UINGEREZA [EPL]
Msimamo wa sasa wa Ligi Kuu ya Uingereza [EPL] 2016/17 baada ya mechi za wikendi iliyopita Msimamo wa sasa wa Ligi Kuu ya Uingereza [EPL] 2016/17 baada ya mechi za wikendi iliyopita Reviewed by Zero Degree on 2/13/2017 12:06:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.