Loading...

Uhamiaji jijini Dar wamuitisha Yusufu Manji ofisini

Mmiliki wa Quality Plaza, Yusufu Manji 
Ofisi ya uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imemtaka mmiliki wa Quality Plaza, Yusufu Manji kuripoti uhamiaji mara baada ya kutoka hospitali alikolazwa.

Ofisa uhamiaji wa mkoa huo, John Msumule ametoa taarifa hiyo leo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

Amesema Manji anatakiwa kufanya hivyo kwa kudaiwa kuwa ameajiri watu wanaoishi nchini kinyume cha sheria.


Source: Mwananchi
Uhamiaji jijini Dar wamuitisha Yusufu Manji ofisini Uhamiaji jijini Dar wamuitisha Yusufu Manji ofisini Reviewed by Zero Degree on 2/14/2017 03:13:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.