Loading...

Barakah The Prince athibitisha kurekodi wimbo mpya na Roma2030

Barakah The Prince amethibitisha kuwa kuna wimbo tayari ameshafanya Roma Mkatholiki.


Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wa ‘Acha Niende’ amefunguka hilo kwenye moja ya picha aliyoiweka kupitia mtandao wa Instagram. Kupitia mtandao huo, Barakah ameandika:

Mungu anamakusudi yake,naamini atasimamia.#Tanzania mpo tayari kwa new hit from @Roma2030 X #Barakahtheprince #SITOJISAHAU2020
Barakah The Prince athibitisha kurekodi wimbo mpya na Roma2030 Barakah The Prince athibitisha kurekodi wimbo mpya na Roma2030 Reviewed by Zero Degree on 3/24/2017 06:40:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.