Loading...

Buffon kutengeneza rekodi hii akiwa na timu yake ya taifa leo dhidi ya Albania

Kipa wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Italia, Gianluigi Buffon akizungumza na waandishi wa habari jana kuelekea mchezo wake wa 1,000 wakati timu yake ya taifa, Italia itakapoikaribisha Albania leo mjini Palermo katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia.

Amesema “Najiona ni mwenye furaha sana kufukisha mechi 1000 kwa taifa langu”, alisema Buffon ambaye alionekana kuwa ni mwenye furaha.



Buffon alicheza mechi yake ya kwanza Parma akiwa ana umri wa miaka 17 mwaka 1995, kabla ya kuhamia Juventus mwaka 2001 na kipa huyo ameichezea Italia kwa miaka zaidi ya 19 tangu Oktoba 29, mwaka 1997 akiwa ana umri wa miaka 19.
Buffon kutengeneza rekodi hii akiwa na timu yake ya taifa leo dhidi ya Albania Buffon kutengeneza rekodi hii akiwa na timu yake ya taifa leo dhidi ya Albania Reviewed by Zero Degree on 3/24/2017 06:52:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.