Loading...

Hizi hapa njia 3 za kukuwezesha kuigundua noti bandia ya elfu 5 na 10 ya Tanzania [Video]

Kumekuwa na matukio mbalimbali yakihusisha upatikanaji wa pesa bandia, hii imekuwa ngumu hata kwa baadhi ya watu kuweza kutofautisha pesa bandia na halali.

Afisa mwandamizi mkuu wa Benki kuu ya Tanzania Patrick Fata ametusogezea njia kuu tatu za kukuwezesha kutambua noti bandia endapo utakutana nazo ikiwa ni pamoja na kuona, kupapasa na njia ya tatu ni kutumia taa maalumu za rangi.

Video inayoonyesha namna ya kuzigundua pesa hizo iko hapa chini:



Source: MillardAyo
Hizi hapa njia 3 za kukuwezesha kuigundua noti bandia ya elfu 5 na 10 ya Tanzania [Video] Hizi hapa njia 3 za kukuwezesha kuigundua noti bandia ya elfu 5 na 10 ya Tanzania [Video] Reviewed by Zero Degree on 3/22/2017 11:41:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.