Loading...

Ikulu yakanusha taarifa inayosambaa kuhusu serikali kufuta mitandao ya kijamii

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa ameikanusha taarifa inayosambaa ikionyesha kuwa serikali inatishia kuifuta mitandao ya kijamii.

Taarifa hiyo iliyoonyesha imeandaliwa na Ikulu, ilieleza kuwa serikali haitasita kuifuta mitandao ya kijamii iwapo itabaini kuwa yote yanayoendelea hayana tija.

“Serikali inafuatilia kwa karibu yote yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, na endapo itabaini haina tija,

Msigwa baadaye aliandika katika ukurasa wake wa Twitter akiwataka watanzania waipuuze taarifa hiyo kwa kuwa ni feki.
Ikulu yakanusha taarifa inayosambaa kuhusu serikali kufuta mitandao ya kijamii Ikulu yakanusha taarifa inayosambaa kuhusu serikali kufuta mitandao ya kijamii Reviewed by Zero Degree on 3/24/2017 05:50:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.