Loading...

Jinsi Pluijm alivyosaini miaka 2 ya kuinoa Singida United

Pluijm amejiunga na Singida United kwa mkataba wa miaka miwili katika nafasi ya kocha mkuu.

Singida United imepanda daraja hadi Ligi Kuu Bara, itaanza kuonyesha yake msimu ujao na tayari imeanza kufanya usajili.


Jinsi Pluijm alivyosaini miaka 2 ya kuinoa Singida United Jinsi Pluijm alivyosaini miaka 2 ya kuinoa Singida United Reviewed by Zero Degree on 3/17/2017 12:23:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.