Loading...

Kauli ya Polepole juu ya mkutano wa Kinana na waandishi wa habari

Kumekuwa na taarifa zikiendelea kuchukua nafasi kwenye mitandao mbalimbali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Comrade Kinana atazungumza na waandishi wa habari leo March 24, 2017. Sasa basi kupitia ukurasa wa twitter wa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole ni kwamba taarifa hizo si za kweli.

Polepole aliyaandika haya:”Napenda kukanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba Katibu Mkuu wa CCM Komrade Kinana atakuwa na Mkutano na waandishi leo Asante.” – Humphrey Polepole
Kauli ya Polepole juu ya mkutano wa Kinana na waandishi wa habari Kauli ya Polepole juu ya mkutano wa Kinana na waandishi wa habari Reviewed by Zero Degree on 3/24/2017 02:12:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.