Loading...

Luis Enrique atangaza kujiuzulu kuifundisha Barcelona mwishoni mwa msimu huu

Kocha wa klabu ya Barcelona Luis Enrique ametangaza kwamba atabwaga manyanga mwishoni mwa msimu huu.

Enrique atakuwa ameitumikia Barcelona kama meneja wa klabu hiyo kwa misimu mitatu .

Aliipatia klabu hiyo kombe la vilabu bingwa na mataji mengine mawili alipojiunga na Barcelona na kuwasaidia kushinda makombe 2 mwaka uliopita.

Lakini licha ya klabu hiyo kuongoa katika jedwali la ligi Barcelona iko katika hatari ya kubanduliwa katika kombe la vilabu bingwa Ulaya msimu huu baada ya kufungwa 4-0 na Prais St-Germain.

Enrique amesema kuwa sababu kuu ya yeye kutaka kujiuzulu ni kwamba anahitaji kupumzika.
Luis Enrique atangaza kujiuzulu kuifundisha Barcelona mwishoni mwa msimu huu Luis Enrique atangaza kujiuzulu kuifundisha Barcelona mwishoni mwa msimu huu Reviewed by Zero Degree on 3/02/2017 02:46:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.