Loading...

Majibu ya Eden Hazard kuhusiana na tetesi za yeye kutaka kutimkia Real Madrid

Kwa mujibu wa ripoti zilizopatikana, Hazard ina "hana mipango" wa kuondoka na kutimiza azima za Real Madrid, wakati Chelsea 'hawana mipango " ya kumuuza.

Naam, bado ukirudi nyuma tena Novemba mwaka jana Hazard alijibu madai kuhusiana na uvumi wa kutaka kuhamia Real Madrid, bado msimamo wake uko pale pale hadi leo, hapa chini ndicho alichosema:


"Niliweka wazi [wakati mimi nilipokutana na Conte kwa mara ya kwanza mwezi Machi kwamba] Sikuwa na nia ya kuondoka baada ya kuwa na mwaka mbaya kiasi kile na klabu ya Chelsea. Sitaki kuachana na klabu kwa namna hiyo. Kama itakuja kutokea nikaondoka hapa nilipo, basi itakuwa ni baada ya kushinda ubingwa wa UEFA. Unatakiwa kuondoka ukiwa juu umeiacha klabu katika hali nzuru zaidi ili watu wakukumbuke wewe kwa sababu inayostahili."-Eden Hazard

Hivyo taarifa kutoka vyombo vya habari zilizotawala hivi sasa ni habari bandia, hivi karibuni alikua 'bize' kujadili juu ya Costa kuondoka na sasa wamehamia kwa Hazard.
Majibu ya Eden Hazard kuhusiana na tetesi za yeye kutaka kutimkia Real Madrid Majibu ya Eden Hazard kuhusiana na tetesi za yeye kutaka kutimkia Real Madrid Reviewed by Zero Degree on 3/10/2017 05:58:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.