Loading...

VIDEO: Rais Magufuli alivyonukuu kipande cha mistari kutoka wimbo wa ‘Muziki’ wa msanii Darassa

Rais Magufuli amekuwa akisifika kutokana na utendaji kazi wake lakini pia ni moja kati ya viongozi ambao wanaweza kuongea na wananchi na kuchombeza na maneno ya utani.

Licha ya kuwa Rais Magufuli ni mtu makini na mkali kwa watumishi wasiotekeleza majukumu yao lakini alifurahisha umati wa watanzania alipokuwa akiongea nao na kugusia wimbo wa ‘Muziki‘ wa Darassa katika sehemu ya hotuba zake kwa kunukuu mistarii kadhaa.

VIDEO: Rais Magufuli alivyonukuu kipande cha mistari kutoka wimbo wa ‘Muziki’ wa msanii Darassa VIDEO: Rais Magufuli alivyonukuu kipande cha mistari kutoka wimbo wa ‘Muziki’ wa msanii Darassa Reviewed by Zero Degree on 3/10/2017 05:40:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.