Loading...

Peter Cech aibuka mshindi wa tuzo hii kwa mara ya 9

Golikipa namba moja wa klabu ya Arsenal, Peter Cech ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Jamhuri ya Czech kwa mwaka 2016. Hii ni mara 9 mchezaji huyo anashinda tuzo hiyo.

Cech ambaye saivi anamiaka 34, ameshastaafu kuichezea timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech tangia mwaka jana baada ya michuano ya Euro nchini Ufaransa, amestaafu akiwa ameichezea timu hiyo mechi 124.


Peter Cech aibuka mshindi wa tuzo hii kwa mara ya 9 Peter Cech aibuka mshindi wa tuzo hii kwa mara ya 9 Reviewed by Zero Degree on 3/22/2017 06:14:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.