Loading...

PSG watua London kumfuata Kocha Arsene Wenger

UKISEMA cha nini wenzio wanawaza watakipata lini? PSG wameripotiwa kuanza kufanya mazungumzo na Arsene Wenger, kwa ajili ya kuinoa klabu hiyo msimu ujao akichukua nafasi ya kocha wa sasa, Unai Emery.

Mabingwa hao wa Ufaransa wamemwandalia Wenger mkataba wa miaka miwili na mshahara mara mbili ya anaolipwa na klabu yake ya Arsenal.
PSG watua London kumfuata Kocha Arsene Wenger PSG watua London kumfuata Kocha Arsene Wenger Reviewed by Zero Degree on 3/23/2017 12:18:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.