Loading...

Samatta ajiunga na Timu ya Taifa na kuanza kujiandaa na michezo dhidi ya Botswana na Burundi

Mshambuliaji wa KRG Genk, Mbwana Samatta, rasmi ameanza mazoezi na kikosi cha Taifa Stars.

Samatta amejiunga na Stars usiku wa kuamkia leo baada ya kutua akitokea nchini Ubelgiji.



Chini ya Kocha Salum Mayanga, Taifa Stars imefanya mazoezi yake kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Stars inajiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Botswana Jumamosi na Jumanne ijayo itakuwa ni zamu Burundi.

Samatta ajiunga na Timu ya Taifa na kuanza kujiandaa na michezo dhidi ya Botswana na Burundi Samatta ajiunga na Timu ya Taifa na kuanza kujiandaa na michezo dhidi ya Botswana na Burundi Reviewed by Zero Degree on 3/23/2017 12:11:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.