Loading...

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Ntalikwa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa
Rais John Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa.

Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu, imesema nafasi ya Profesa Ntalikwa itajazwa baadaye.
Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Ntalikwa Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Ntalikwa Reviewed by Zero Degree on 3/26/2017 08:35:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.