Loading...

Rais Omar al-Bashir [Sudan], amemteua makamu wake kuwa waziri mkuu

Rais wa Sudan, Omar al-Bashir
Rais wa Sudan, Omar al-Bashir, amemteuwa makamu wake wa rais Bakri Hassan Saleh kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo.

Kuna madai kwamba Bwana Bashir anamuandaa awe mrithi wake.

Bakri Hassan Saleh
Bwana Saleh ni mmoja wa mshirika wa karibu zaidi wa Bashir, na alihusika katika mapinduzi ya mwaka 1989 yaliyomleta mamlakani Omar Al Bashir.

Huku wakiwa chini ya shinikizo kali kutoka kwa upinzani na jamii ya kimataifa, Bwana Mr Bashir amebuni cheo cha waziri mkuu, ambacho aliifutilia mbali mara tu baada ya kuingia uongozini kwa njia ya mapinduzi.
Rais Omar al-Bashir [Sudan], amemteua makamu wake kuwa waziri mkuu Rais Omar al-Bashir [Sudan], amemteua makamu wake kuwa waziri mkuu Reviewed by Zero Degree on 3/03/2017 10:48:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.