Loading...

Taarifa za hivi karibuni juu ya hali ya majeraha ya Eden Hazard

Imekuwa ikiripotiwa kuwa Eden Hazard anaweza kurejea kwenye mazoezi na wenzake mapema wiki ijayo.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 anaendelea vizuri kutokana na kupata majeraha yaliyomfanya awe nje wati Chelsea ikipata ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Stoke City wikendi iliyopita majeraha aliyoyapata wakati wa mazoezi kuelekea kwenye mchezo huo.

Hata hivyo, kwa sasa anaendelea vizuri na atarajiwa kuwa 'fit' kwa kurudi kushiriki katika mchezo kati ya Chelsea na Crystal Palace baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa.

Hazard bila shaka atakuwa tayari kurejea katika kikosi chake kama ambavyo inatarajiwa baada ya kufungia time yake ya Chelsea mabao 11 na 'assist' 4 katika michezo 26 ya Ligi Kuu ya Uingereza hadi sasa katika msimu huu.
Taarifa za hivi karibuni juu ya hali ya majeraha ya Eden Hazard Taarifa za hivi karibuni juu ya hali ya majeraha ya Eden Hazard Reviewed by Zero Degree on 3/24/2017 02:58:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.