Loading...

VIDEO: Goli pekee na la mwisho kwa Podolski alilofunga katika mechi yake ya mwisho akiwa na Timu yake ya Taifa

Lukas Podolski amefunga bao pekee Ujerumani ikitwanga England kwa bao 1-0 katika mechi ya kirafiki na yeye akastaafu rasmi.


Podolski akirushwa juu na wenzake baada ya mchezo kumalizika ikiwa ni sehemu ya kumuaga nyota huyo mwenye miaka 31

Wakati anastaafu, ameondoka amefunga mabao 49 ya kimataifa yakiwa ni mengi zaidi kuliko wachezaji wote waliokuwa kwenye kikosi cha England jana kwa kuwa jumla yao ni mabao 46 tu.

VIDEO: Goli pekee na la mwisho kwa Podolski alilofunga katika mechi yake ya mwisho akiwa na Timu yake ya Taifa VIDEO: Goli pekee na la mwisho kwa Podolski alilofunga katika mechi yake ya mwisho akiwa na Timu yake ya Taifa Reviewed by Zero Degree on 3/23/2017 11:01:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.