Loading...

Waandamanaji kulalamikia hali mbaya ya barabara nchini Kenya wapanda mgomba katikati ya barabara

Wahudumu wa magari ya usafiri nchi Kenya, yanayofahamika kama matatu wamefanya maandamano kulalamikia hali mbaya ya barabara kwenye mitaa ya mji mkuu Nairobi.

Kituo kimoja cha redio kimetuma picha ya waandamanaji wakipanda mgomba wa ndizi barabarani kwenye mtaa wa Kayole, kama njia ya kusema kuwa barabara iyo inaweza kuwa bora kwa kilimo kuliko iwe barabara ya magari.
Waandamanaji kulalamikia hali mbaya ya barabara nchini Kenya wapanda mgomba katikati ya barabara Waandamanaji kulalamikia hali mbaya ya barabara nchini Kenya wapanda mgomba katikati ya barabara Reviewed by Zero Degree on 3/01/2017 09:18:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.