Wanajeshi 40 wauawa kwa kukatwakatwa nchini DRC
Maafisa wa usalama DR Congo wamekuwa wakikabiliana na waasi maeneo mbalimbali nchini humo |
Wapiganaji hao kutoka kundi la Kamwina Nsapu walishambulia polisi waliokuwa kwenye msafara.
Maafisa sita wa pilisi waliowasiliana na Tshiluba waliachiliwa huru, rais wa bunge la jimbo la Kasai Francois Kalamba amesema.
Machafuko jimbo la Kasai yalianza Agosti mwaka jana, pale maafisa wa polisi walipomuua kiongozi wa Kamwina Nsapu.
Shambulio la Ijumaa lililenga msafara wa polisi waliokuiwa wakisafiri kati ya Tshikapa na Kananga.
Gavana wa jimbo hilo Alexis Nkande Myopompa amesema uchunguzi umeanzishwa kuhusu mauaji hayo.
Umoja wa Mataifa unasema watu 400 wameuawa na wengine 200,000 kuachwa bila makao eneo la Kasai tangu Jean-Pierre Pandi, kiongozi wa Kamwina Nsapu alipouawa.
Mauaji yake yalitekelezwa miezi miwili baada ya Kamwina Nsapu mwezi Juni 2016 kuanzisha juhudi za kutaka atambuliwe kama mkuu wa eneo hilo na kutaka maafisa wa serikali ya taifa kuondoka jimbo hilo.
Umoja wa Mataifa unasema umepata makaburi 10 ya pamoja ambapo waliouawa katika machafuko hayo walizikwa.
Kadhalika, kuna maeneo mengine saba ambapo inadhaniwa kuna makaburi yaliyozikwa watu wengi kwa pamoja.
Wataalamu wawili wa Umoja wa Mataifa, Mmarekani na raia wa Sweden, walitekwa nyara eneo hilo wiki mbili zilizopita pamoja na raia wanne wa DR Congo waliokuwa wakifanya kazi nao.
Kufikia sasa bado hawajulikani walipo.

UN inasema watu 400 wameuawa Kasai tangu Agosti mwaka jana |
Muhula wake ulimalizika Desemba mwaka jana.
Uchaguzi umepangiwa kufanyika kabla ya mwisho wa mwaka huu lakini tarehe kamili haijaafikiwa.
Wanajeshi 40 wauawa kwa kukatwakatwa nchini DRC
Reviewed by Zero Degree
on
3/26/2017 09:36:00 AM
Rating: