Loading...

AJALI: 27 wafariki dunia katika ajali ya basi nchini Kenya


Basi likiwa katika muonekano mbaya baada ya kupata ajali.
Muonekano wa basi baada ya kupata ajali na kusababisha vifo vya watu 27 leo na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori huko Kambu, Mombasa nchini Kenya.
Muonekano wa Lori baada ya kupata ajali.
AJALI: 27 wafariki dunia katika ajali ya basi nchini Kenya AJALI: 27 wafariki dunia katika ajali ya basi nchini Kenya Reviewed by Zero Degree on 4/25/2017 11:31:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.