Loading...

Bayern Munich imebeba Ubingwa wa Bundesliga kwa mara ya 5 mfululizo kwa ushindi wa goli 6-0

Bayern Munich imeitwanga Wolfsburg kwa mabao 6-0 na kufanikiwa kubeba ubingwa wa Bundesliga kwa mara ya tano mfululizo.

Ushindi huo, unaifanya Bayern kuandika historia ya ubabe katika Bundeliga na hasa kuibeba mara tano mfululizo.

Mshambuliaji Roberto Lewandowski yeye alifunga mabao mawili katika mechi hiyo.

Siku chache zilizopita, Bayern ilifungwa na wapinzani wao wakubwa Borussia Dortmund ambao wamesonga hadi katika fainali ya Kombe la Ujerumani.



Bayern Munich imebeba Ubingwa wa Bundesliga kwa mara ya 5 mfululizo kwa ushindi wa goli 6-0 Bayern Munich imebeba Ubingwa wa Bundesliga kwa mara ya 5 mfululizo kwa ushindi wa goli 6-0 Reviewed by Zero Degree on 4/29/2017 11:59:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.