Loading...

FIFA: Orodha kamili ya viwango vipya vya soka, Brazil ndio vinara wakati Hong Kong na Chad zikishika mkia

Timu ya taifa ya Brazil wamekua vinara wa soka kwa mwezi wa Machi katka viwanho vinavyotolewaga na FIFA.

Wacheza samba hao wamerejea kileleni kwa mara ya kwanza baada ya Miaka 6 na imekua timu yenye mafanikio kwa kuwa timu ya kwanza kufuzu kwa kombe la dunia la 2018.

Argentina wako nafasi ya pili, Ujermani wako nafasi ya tatu, Chile wako nafasi ya nne huku Colombia wakiwa katika nafasi ya tano. 6. Ufaransa 7. Ubelgiji i 8. Ureno 9.Uswisi 10.Hispania.

Misri wako juu kwa bara la afrika wakiwa nafasi ya 19 wakifuatiwa na Senegal 30 , mabingwa wa Afrika Cameroon wako nafasi ya 33.

Kwa upande wa Afrika Mashariki Uganda the Cranes iko nafasi ya 72 ikiwa imepanda nafasi 3, Kenya nafasi iko 78,Rwanda inakamata nafasi ya 117 ikiwa imeshuka kwa nafasi 17.

Tanzania imepanda kwa nafasi 22 toka 157 mpaka nafasi ya 135, Burundi imeporomoka kwa nafasi 3 kutoka nafasi ya 138 mpaka 141.


Orodha kamili hii hapa:

1 Brazil
2 Argentina
3 Germany
4 Chile
5 Colombia
6 France
7 Belgium  
8 Portugal
9 Switzerland
10 Spain
11 Poland
12 Italy
13 Wales
14 England
15 Uruguay
16 Mexico
17 Peru
18 Croatia
19 Egypt
20 Costa Rica
21 Iceland
22 Turkey
23 USA, Slovakia
24 Ecuador
25Northern Ireland,Republic of Ireland
26 Iran
27 Bosnia and Herzegovina 
28 Senegal
29 Hungary
30 Netherlands 
31 Cameroon 
32 Sweden
33 Burkina Faso 
34 Austria
35 Ukraine 
36 Paraguay
37 Greece 
38 Nigeria
39 Congo DR
40 Tunisia
41 Korea Republic
42 Japan
43 Ghana
44 Czech Republic
45 Romania
46 Côte d'Ivoire
47 Serbia
48 Australia
49 Denmark
50 Saudi Arabia 
51 Morocco 
52 Algeria 
53 Slovenia,Bulgari
54 Panama
55 Venezuela 
56 Scotland
57 Uzbekistan
58 Russia
59 Montenegro
60 Israel
61 South Africa
62 Haiti 
63 Albania
64 Armenia
65 Honduras
66 Mali
67 Curaçao 
68 Guinea
69 Uganda
70 Jamaica
71 United Arab Emirates, Bolivia
72 Trinidad and Tobago
73 Faroe Islands,5 Kenya
76 Belarus
77 Syria
78 China PR
79 Cape Verde Islands 
80 Benin
84 Gabon
84 Congo 
86 Norway
87 Azerbaijan
88 Swaziland
89 Qatar
90 Mauritania
91 Libya
92 Guatemala 
93 Antigua and Barbuda
94 Namibia
94 uinea-Bissau
96 Cyprus
97 Finland
97 Zambia 
99 St. Kitts and Nevis
100 Malawi
101 Nicaragua 
101 Lithuania
101 India
101 Estonia
105 Kazakhstan
106 Mozambique
107 Togo
108 El Salvador
109 Canada
110 Jordan
111 Zimbabwe
112 New Zealand
113 Sierra Leone
114 Oman
115 Korea DPR
116 Equatorial Guinea
117 Rwanda
118 Suriname
119 Iraq 
120 Botswana
120 Madagascar  
122 Georgia
123 Yemen
124 Latvia
124 Ethiopia
124 Palestine 
127 Philippines
128 Kyrgyzstan
129 Thailand
130 Central African Republic 
131 Niger 
132 Bahrain 
133 FYR Macedonia
134 Puerto Rico
135 Tanzania
136 Vietnam
137 Lebanon
138 Tajikistan
139 Guyana
140 Turkmenistan
141 Liberia
141 Burundi
143 Comoros
144 Angola
145 Belize
146 Luxembourg 
147 Dominican Republic
148 Lesotho 
149 Hong Kong, Chad
FIFA: Orodha kamili ya viwango vipya vya soka, Brazil ndio vinara wakati Hong Kong na Chad zikishika mkia FIFA: Orodha kamili ya viwango vipya vya soka, Brazil ndio vinara wakati Hong Kong na Chad zikishika mkia Reviewed by Zero Degree on 4/07/2017 03:28:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.