Loading...

Hakimu atishia kuifuta kesi inayomkabili msanii Wema Sepetu

HAKIMU Mkazi Mkuu, Thomas Simba, ametishia kuifuta kesi ya kukutwa na kete moja ya bhangi inayomkabili mwigizaji filamu, WemaSepetu (28) na wenzake wawili baada ya Jamhuri kudai mahakamani hapo kwamba upelelezi haujakamilika.

“Leo (Jana) kesi hii ilitakiwa kufutiliwa mbali, ‘unasemaje tukapige chini, kwa nini unasema tusikapige chini,” alisema Hakimu Simba akimwambia wakili wa Serikali.

Hakimuhuyoalitishiakuifutakesi hiyo akidaisababukuwaupelelezi wake haujakamilikakwa zaidi ya siku 60 na Jamhurihaijaombaiongezewemuda.

Hayoyalidaiwajanawakatikesi hiyo inayomkabiliWemanamfanyakazi wake wa ndaniilipotajwaMahakama ya HakimuMkaziKisutumbele ya HakimuMkaziMkuu, Thomas Simba.

Wakili wa Serikali, Constantine:

Kakula,akiiwakilishaJamhurialidaiupelelezihaujakamilikahivyoaliombakesi hiyo iahirishwe,hukuwakili wa utetezi, Peter Kibatala,akiombaupande wa mashtakawaharakishekukamilishaupelelezi.

Hatahivyo,hakimuhuyoalimwambiawakiliwaSerikaliawaambiewapeleleziwakamilisheupelelezi wa kesi hiyo mapema. Kesi hiyo iliahirishwahadi Mei 2,mwakahuu.

IlidaiwakwambaFebruari 4, mwakahuunyumbanikwaWema, KunduchiUnunio, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, washtakiwahaowalikutwa na msokotommoja na vipandeviwilivyabangi.

Hata hivyo,washtakiwa hao wote walikana mashtaka hayo na wapo nje kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya wadhamini wawili walio saini bondi ya Sh.milioni tano kila mmoja.
Hakimu atishia kuifuta kesi inayomkabili msanii Wema Sepetu Hakimu atishia kuifuta kesi inayomkabili msanii Wema Sepetu Reviewed by Zero Degree on 4/13/2017 12:41:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.