Loading...

Hii ndio rekodi mpya aliyotengeneza Neymar akiwa Barcelona

Mchezaji wa timu ya taifa Brazil, Neymar Jr amekuwa ni Mbrazil watatu kufikisha magoli 100 akiwa na klabu ya Barcelona katika michuano yote lakini bado mchezaji huyo anaonekana anauwezo wakuja kuweka rekodi yake.


Evaristo ndiye alikuwa mchezaji kwanza kufikisha magoli 105, na wapili alikuwa Rivaldo aliye fikisha magoli 130.

Evaristo ambaye alifikisha magoli 105 akiwa na Barcelona
Hii ndio rekodi mpya aliyotengeneza Neymar akiwa Barcelona Hii ndio rekodi mpya aliyotengeneza Neymar akiwa Barcelona Reviewed by Zero Degree on 4/03/2017 10:56:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.