Loading...

Hili ndilo jibu la Mbunge wa Kawe, Halima Mdee [Chadema] kwa Askofu Gwajima

Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dr. Josephat Gwajima jana alijitokeza hadharani mbele ya waumini wa kanisa lake na kumtaka Halima Mdee Mbunge wa CHADEMA kumuomba radhi Spika wa Bunge Job Ndugai kwa maelezo kuwa alimtukana. Gwajima alisema, kama hatafanya hivyo, basi ataitumia Jumapili Ijayo 'kumchapa' Hadharani.

Kutokana na madai hayo, Halima Mdee amejitokeza hadharani na kumjibu Gwajima

"Namuheshimu sana Mch. Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika.

"Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO."

Hili ndilo jibu la Mbunge wa Kawe, Halima Mdee [Chadema] kwa Askofu Gwajima Hili ndilo jibu la Mbunge wa Kawe, Halima Mdee [Chadema] kwa Askofu Gwajima Reviewed by Zero Degree on 4/10/2017 12:44:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.