Loading...

PICHA: Zaha, Benteke walivyoipa Crystal Palace ushindi wa goli 2-1 dhidi Chelsea darajani

Christian Benteke aliifungia Crystal Palace bao la ushindi dakika ya 11 ikiwalaza wenyeji, Chelsea 2-1 Uwanja wa Stamford Bridge, London jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Chelsea walitangulia kwa bao la Cesc Fabregas dakika ya tano, kabla ya Wilfried Zaha kuisawazishia Palace dakika ya tisa.

Christian Benteke akishangilia baada ya kuifungia Crystal Palace bao







Matokeo ya mechi zote za Ligi kuu ya Uingereza zilizochezwa leo:


PICHA: Zaha, Benteke walivyoipa Crystal Palace ushindi wa goli 2-1 dhidi Chelsea darajani PICHA: Zaha, Benteke walivyoipa Crystal Palace ushindi wa goli 2-1 dhidi Chelsea darajani Reviewed by Zero Degree on 4/01/2017 11:39:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.