Loading...

Taarifa ya idara ya uhamiaji juu ya habari za uzushi kuhusu Raia wa Kenya kufukuzwa nchini

Kumekuwepo taarifa ambazo zimekuwa zikiripotiwa kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari pamoja na mitandao ya kijamii kuwa, Serikali ya Tanzania inafanya operesheni maalum inayolenga kuwaondoa Raia wa Kenya wanaoishi nchini bila kuwa na Vibali halali huko Wilayani Longido, Mkoa wa Arusha, huku wakimhusisha Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu katika utekelezaji wa ‘zoezi’ hilo.

Taarifa hizi zimezua tafrani na kutishia hali ya usalama iliyopo katika mpaka wa Tanzania na Kenya, Namanga.Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu Taarifa hizo zinazoendelea kuenezwa kuwa:-


Imetolewa na;
KITENGO CHA UHUSIANO,
MAKAO MAKUU, IDARA YA UHAMIAJI,
BARABARA YA LOLIONDO, KURASINI,
S.L.P 512, DAR ES SALAAM.
31 MACHI, 2017.
www.immigration.go.tz
Taarifa ya idara ya uhamiaji juu ya habari za uzushi kuhusu Raia wa Kenya kufukuzwa nchini Taarifa ya idara ya uhamiaji juu ya habari za uzushi kuhusu Raia wa Kenya kufukuzwa nchini Reviewed by Zero Degree on 4/01/2017 09:30:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.