Loading...

Tanapa yakanusha taarifa ya Mwalimu wa Chuo kujeruhiwa na Simba usoni

Mkuu wa Idara ya Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa, (Tanapa) Paschal Shelutete amesema aliyeshambuliwa na Simba na kujeruhiwa vibaya ni mlinzi wa kambi ya watalii iliyopo Hifadhi za Taifa za Tarangire.

Shelutete alikanusha taarifa zinazogaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa aliyejeruhiwa ni Mwalimu wa Chuo cha Sinoni cha Kimara Temboni aliyekuwa na wanafunzi wake.

Alimtaja mlinzi huyo kuwa ni Kilopa Samweli Loyani (46)na alikuwa katika kambi ya Maramboy inayomilikiwa na kampuni binafsi.

Alisema alijeruhiwa na Simba Aprili 22 saa tisa usiku.

Tanapa yakanusha taarifa ya Mwalimu wa Chuo kujeruhiwa na Simba usoni Tanapa yakanusha taarifa ya Mwalimu wa Chuo kujeruhiwa na Simba usoni Reviewed by Zero Degree on 4/29/2017 01:50:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.