Ufaransa kufanya uchaguzi wa Rais leo jumapili
Wagombea maarufu (Kushoto kuenda kulia): François Fillon, Benoît Hamon, Marine Le Pen, Emmanuel Macron na Jean-Luc Mélenchon |
Wawaniaji 11 wanang'ang'ania urais huku wagombezi wakuu wanne wakionekana kuwa na umaarufu sawa.
Baadhi ya ni watatu ambao hawana historia ya kufanya kazi za serikali, akiwemo mliberali wa kati Emmanuel Macron, mzalendo anayeegemea kulia Marine le Pen na Jean-Luc Melenchon anayeegemea mrengo wa kushoto.
Mpinzani wao mhafidhina Francois Fillon, amehudumia serikali katika nyadhfa kadhaa za uwaziri katika kipindi cha miongo miwili.
Hamna yeyote anayetarajiwa kuibuka na ushindi katika duru ya kwanza, na wawili watakaoongoza uchaguzi huo watamenyana na katika duru ya pili mwezi ujao.
Usalama umeimarishwa kufuatia shambulizi la kigaidi lililotokea katikati mwa mji mkuu Paris alhamis, ambapo afisa mmoja wa polisi aliuwawa.

Baadhi ya wapiga kura walio nchi za nje tayari wamepiga kura zao |
Ufaransa kufanya uchaguzi wa Rais leo jumapili
Reviewed by Zero Degree
on
4/23/2017 11:19:00 AM
Rating: