Loading...

Unaijua zawadi ambayo Mayweather amemzawadia mwanae kwenye Birthday yake?

Bondia mstaafu Floyd Mayweather ambaye huwa haishiwi vituko ameendeleza mbwembwe zake za kumwaga fedha. Ametumia kiasi cha paundi 31,000 ambazo ni sawa milioni 84 kwa fedha za Bongo kununua zawadi ya gari kwa mtoto wake kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.

Mayweather ambaye ni maarufu kama Money, amenunua gari hilo aina ya Mercedes C-Class Coupe kwa ajili ya mwanaye Zion ambaye ametimiza miaka 16.

Pamoja na gari hilo la kifahari wasanii kadhaa maarufu walitumbuiza katika party hiyo ya usiku iliyofanyika usiku huku yeye akiwa anamwaga fedha kama ilivyozoeleka kwa baba yake.

Unaijua zawadi ambayo Mayweather amemzawadia mwanae kwenye Birthday yake? Unaijua zawadi ambayo Mayweather amemzawadia mwanae kwenye Birthday yake? Reviewed by Zero Degree on 4/04/2017 11:39:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.