Loading...

Alichosema Ibrahim Ajibu kuhusiana na Taarifa zinazodai kwamba amejiunga na Singida United

Pamoja na taarifa za kiungo Ibrahim Ajibu kuelezwa amejiunga na Singida United, yeye amesisitiza bado ni mchezaji wa Simba.

Ajibu amesema mkataba wake unaisha mwezi ujao lakini kikubwa bado ni mchezaji wa Simba.

“Hadi uone nimesaini au nakabidhiwa jezi basi unaweza kusema kweli.

“Lakini kwa sasa naacha kila mmoja aseme anavyoamini, lakini mimi ni mchezaji wa Simba,” alisema.
Alichosema Ibrahim Ajibu kuhusiana na Taarifa zinazodai kwamba amejiunga na Singida United Alichosema Ibrahim Ajibu kuhusiana na Taarifa zinazodai kwamba amejiunga na Singida United Reviewed by Zero Degree on 5/29/2017 12:30:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.