Loading...

Banda kuondoka Msimbazi...?? Soma alichowaandikia mashabiki wa Simba baada ya Fainali jana

Mara baada ya kucheza mechi ambayo Simba imeshinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mbao FC na kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho, beki Abdi Band ameaga.


Banda kupitia mtandao wake wa Instagram amewaaga mashabiki wa Simba na kuwashukuru kwa ushirikisho wao.

Beki huyo kinda ambaye katika mechi ya leo aliingia nafasi ya beki wa kushoto baada ya Mohamed Zimbwe Jr kuumia katika dakika ya 47, amesema anakwenda kutafuta maisha.
Banda kuondoka Msimbazi...?? Soma alichowaandikia mashabiki wa Simba baada ya Fainali jana Banda kuondoka Msimbazi...?? Soma alichowaandikia mashabiki wa Simba baada ya Fainali jana Reviewed by Zero Degree on 5/28/2017 09:40:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.