Loading...

Huyu ndiye kocha mpya wa Barcelona anayechukua nafasi ya Luis Enrique

Ernesto Valverde
Barcelona imemtangaza Ernesto Valverde kuwa kocha wake mpya mkuu anayechukua nafasi ya Luis Enrique aliyeamua kuondoka.

Luis Enrique
Barcelona imemtangaza Ernesto Valverde kuwa kocha wake mpya mkuu anayechukua nafasi ya Luis Enrique aliyeamua kuondoka.

Valverde, 53, alikuwa kocha wa Athletic Bilbao ambayo imemaliza La Liga ikiwa katika nafasi ya 7.

Kabla ya hapo, kocha huyo amewahi kuzinoa Villarreal, Valencia na wapinzani wakubwa wa Barcelona inapokuwa jijini Barcelona, Espanyol.
Huyu ndiye kocha mpya wa Barcelona anayechukua nafasi ya Luis Enrique Huyu ndiye kocha mpya wa Barcelona anayechukua nafasi ya Luis Enrique Reviewed by Zero Degree on 5/29/2017 11:32:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.