Loading...

Jibu la Gwajima kwa mhubiri aliyemtabiria kifo

Mchungaji wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema hatakufa mpaka pale atakapotimiza lile lililomleta duniani.

Ameyasema maneno hayo leo wakati wa ibada ya jumapili kanisani kwake ikiwa ni siku chache tu zimepita baada ya mhubiri mmoja wa kimataifa kutabiri kwamba Gwajima atakufa ifikapo mwaka 2018.

"Mungu ndiye anajua siku, saa na dakika ya kufa kwangu si mwanadamu," amesema Askofu Gwajima.
Jibu la Gwajima kwa mhubiri aliyemtabiria kifo Jibu la Gwajima kwa mhubiri aliyemtabiria kifo Reviewed by Zero Degree on 5/21/2017 01:35:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.