Loading...

Mrisho Mpoto amewajibu waliomtukana kwa kumuunga mkono Rais Magufuli

Ilikuwa Mei 2, 2017 ambapo Mrisho Mpoto alifunguka kuhusiana na wale wanaomtusi na kumponda kutokana kuonesha kuunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli.

"Kiukweli nimepata masikitiko makubwa sana kwani nimejaribu kuwaambia watanzania Rais ni nani, unajua kuna wakati wa kampeni ambapo kila mtu anaruhusiwa kuwa na mtazamo wake chochote anachokiamini pale tunaangalia masuala ya vyama lakini tunapomaliza masuala ya uchaguzi tunarudi tuwe katika masuala ya umoja tujenge nchi yetu"- Mrisho Mpoto.
Mrisho Mpoto amewajibu waliomtukana kwa kumuunga mkono Rais Magufuli Mrisho Mpoto amewajibu waliomtukana kwa kumuunga mkono Rais Magufuli Reviewed by Zero Degree on 5/03/2017 02:13:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.