Loading...

Mzazi mwenzake na Zari afariki dunia

Mzazi mwenzake na Zari 'The BossLady', Ivan Ssemwanga amefariki dunia katika hospitali nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kutokana na matatizo ya moyo.


Ivan ambaye alifanikiwa kupata watoto watatu na Zari, baby mama wa Diamond Platnumz, alikimbizwa hospitalini mapema wiki iliyopita baada ya kupoteza fahamu. Kupitia mtandao wa Instagram, Zari amethibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa kuweka picha ya bosi huyo na kuandika ujumbe wa kusikitisha.

Ujumbe aliouandika Zari
Tunatoa pole kwa msiba huo na tunamuomba Mungu ailaze roho yake (Ivan) mahali pema peponi.
Mzazi mwenzake na Zari afariki dunia Mzazi mwenzake na Zari afariki dunia Reviewed by Zero Degree on 5/25/2017 12:37:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.