Loading...

Ratiba ya mitihani ya kidato cha 6 iliyoanza leo Mei 2

ZeroDegree pamoja na Watanzania walio wengi wanawatakia mtihani mwema watahiniwa zaidi ya 70,000 ambao wameanza mitihani yao ya kidato cha sita leo nchini kote ambapo, kati ya hao, wakujitegemea ni 11,861.

Mungu atawasaidia na mtafanya vyema katika mitihani yenu na mfauru vizuri muweze kuyafikia malengo yenu.

Hapa chini kuna RATIBA ya mitihani hiyo kwani tunaamani katika namna moja au nyingine hawezi kukosekana mtu mwenye kuihitaji.

Ratiba ya mitihani ya kidato cha 6 iliyoanza leo Mei 2 Ratiba ya mitihani ya kidato cha 6 iliyoanza leo Mei 2 Reviewed by Zero Degree on 5/02/2017 04:34:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.