Loading...

Real Madrid ndio Mabingwa wapya wa La Liga baada ya kuifunga Malaga magoli 2-0

Real Madrid wamekuwa mabingwa wapya wa La Liga baada ya kuichapa Malaga kwa mabao 2-0.


Pamoja na ushindi wa BArcelona wa mabao 4-2 dhidi ya Eibar, haukuweza kuwazuia Madrid kubeba ubingwa kwa tofauti ya pointi 3.

Maana yake, Madrid chini ya Zinedine Zidane imefanikiwa kubeba ubingwa wa La Liga na kusitisha ufalme wa Barcelona mfululizo katika La Liga.

Katika mechi ya leo, bao la kwanza lilifungwa na Cristiano Ronaldo na la pili likafungwa na Karim Benzema.




Real Madrid ndio Mabingwa wapya wa La Liga baada ya kuifunga Malaga magoli 2-0 Real Madrid ndio Mabingwa wapya wa La Liga baada ya kuifunga Malaga magoli 2-0 Reviewed by Zero Degree on 5/21/2017 11:45:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.