Loading...

Sasa ni rasmi, Yusuf Manji amethibitisha kung'atuka Yanga

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amethibitisha kuwa taarifa iliyoenea mitandaoni ni yake.

Manji amethibitisha kuandika barua ya kuanchia ngazi katika klabu ya Yanga kupitia nafasi yake ya uenyekiti.

Lakini akatoa kauli ambayo ni ya kwanza baada ya kuwa ametangaza kuachia ngazi.


Sasa ni rasmi, Yusuf Manji amethibitisha kung'atuka Yanga Sasa ni rasmi, Yusuf Manji amethibitisha kung'atuka Yanga Reviewed by Zero Degree on 5/23/2017 05:50:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.