Loading...

Simba imekanusha taarifa inayosambazwa mitandaoni kuhusiana na Rais wao, Evans Aveva

Siku moja baada ya tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara kufanyika na kutoa zawadi kwa wahusika huku timu ya Simba ambayo ni mshindi wa pili kutokuwepo wala kutuma muhusika katika eneo la tukio ikihisiwa kuwa ni muendelezo wa kugomea zawadi ya mshindi wa pili.

Jana Mei 25, 2017 ziliripotiwa habari za uongo katika mitandao ya kijamii kuwa wekundu wa Msimbazi Simba kupitia kwa Rais wao, Evans Aveva wamekubali nafasi ya mshindi wa pili na kufuta malalamiko yao FIFA kuhusiana na kuituhumu TFF kutotenda haki.

Simba imekanusha taarifa inayosambazwa mitandaoni kuhusiana na Rais wao, Evans Aveva Simba imekanusha taarifa inayosambazwa mitandaoni kuhusiana na Rais wao, Evans Aveva Reviewed by Zero Degree on 5/26/2017 09:56:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.