Loading...

VIDEO: Msanii Chin Bees alivyorudi kivingine na ‘Nyonga Nyonga

Baada ya kujitengenezea heshima adimu kama ‘Prince wa Trap’ Tanzania kupitia ngoma yake, Pepeta, Chin Bees ameachia wimbo mpya ‘Nyonga Nyonga’ pamoja na video yake.

Wimbo huo wenye mahadhi ya dancehall iliyochanganyikana na ladha za aina yake za Kibongo, unadhihirisha uwezo wa Chin katika kubadilika kwenye mahadhi mbalimbali kama atakavyo. Nyonga Nyonga ni wimbo wa pili wa rapper huyo akiwa chini ya usimamizi wa label ya Wanene Entertainment.

Tazama video ya wimbo huo kwa kubofya hapo chini kisha usisahau kuacha maoni yako kulingana na jinsi ulivyoupokea:

VIDEO: Msanii Chin Bees alivyorudi kivingine na ‘Nyonga Nyonga VIDEO: Msanii Chin Bees alivyorudi kivingine na ‘Nyonga Nyonga Reviewed by Zero Degree on 5/20/2017 11:28:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.