Loading...

VIDEO: Wimbo mpya wa Stamina akimshirikisha Maua - ‘Love me’

Msanii wa Hip-hop Tanzania, Stamina leo ameachia ngoma mpya ambayo amemshirikisha hodari wa bongofleva, Maua Sama. Nyimbo hiyo inakwenda kwa jina la ‘love me‘.

Itazame video ya wimbo huo kwa kubofya hapo chini kisha usisahau kuacha maoni yako kulingana na ulivyoupokea wimbo wenyewe:

VIDEO: Wimbo mpya wa Stamina akimshirikisha Maua - ‘Love me’ VIDEO: Wimbo mpya wa Stamina akimshirikisha Maua - ‘Love me’ Reviewed by Zero Degree on 5/20/2017 05:26:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.