Wenger afanya mazungumzo na mmiliki wa klabu, Stan Kroenke kuhusu mkataba wake mpya
Idadi ya vikombe Wenger alivyofanikiwa kubeba akiwa Arsenal |
Matokeo ya mkutano huo bado hayajawekwa wazi, lakini maamuzi yanabaki baina ya Wenger na Kroenke na yatategemea pia kikao cha bodi kitakachojadili suala hilo leo hii.
Bado haijajulikana kama Wenger ataongeza mkataba baada ya kudumu katika klabu hiyo kwa miaka 21.
Masharti ya mkataba mpya yalikubaliwa miezi kadhaa iliyopita, lakini hakuna kilichofanyiwa kazi mpaka hivi sasa.
Kumaliza pia nje ya timu nne bora na kukosa michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu ujao imekua changamoto kwake.

Lakini hali kidogo imekua shwari baada ya kuifunga Chelsea 2-1 katika fainali za kombe la FA siku ya Jumamosi na kumfanya Wenger kuwa kocha mwenye mafanikio zaidi kwenye kombe hilo huku Arsenal nayo ikiwa na mafanikio zaidi kuchukua kombe hilo.
Wenger afanya mazungumzo na mmiliki wa klabu, Stan Kroenke kuhusu mkataba wake mpya
Reviewed by Zero Degree
on
5/30/2017 10:26:00 AM
Rating: