Loading...

Audio: Kuhusiana na Niyonzima kusaini Simba au Yanga, ..msikilize mwenyewe akizungumza hapa


Kumekuwa na hali ya sintofahamu kuhusiana na usajili wa Haruna Niyonzima kufuatia kuzagaa kwa taarifa zinazodai kiungo tayari amesaini mkataba wa miaka miwili Simba na nyinginezo zikidai ameongeza mkataba Yanga.
 
Kutokana na hilo mwenyewe alitafutwa na wenye uchu wa kuufahamu ukweli kuhusiana na hilo na hivi ndivyo ilivyokuwa.

Bofya hapo chini kusikiliza majibu yake:

Audio: Kuhusiana na Niyonzima kusaini Simba au Yanga, ..msikilize mwenyewe akizungumza hapa Audio: Kuhusiana na Niyonzima kusaini Simba au Yanga, ..msikilize mwenyewe akizungumza hapa Reviewed by Zero Degree on 6/20/2017 10:17:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.