Loading...

Barcelona yapata wadhamini wapya, ...huu ndio muonekano mpya wa jezi yao ya nyumbani


Jezi mpya ya nyumbani ya Klabu ya Barcelona na Wadhamini wapya toka Japan, Rakuten inatofautishwa na ya zamani kwa ongezeko la nembo ya 'Nike' na ongezeko la michirizi ya rangi ya blue.


Michirizi hiyo ni ya wima, ambapo iko katika ujazo tofauti tofauti ikiwa juu ya rangi ya blue iliyokolezwa, wakati ikionesha nguvu ya msukumo inayotokana na historia ya klabu na utamaduni. Kola yake inasimama kama bendera ya Catalunya na ikiwa na maneno yanayosomeka "Forca" and "Barca" kwa ndani.


"Ukivaa jezi mpya ya Barca kwa mara ya kwanza unajisikia kiburi na matumaini kwa msimu unaoukuja mbeleni," alisema Neymar. "Inaonekana na inaleta hisia za sare mpya na za kisasa kwenye michezo."
Barcelona yapata wadhamini wapya, ...huu ndio muonekano mpya wa jezi yao ya nyumbani Barcelona yapata wadhamini wapya, ...huu ndio muonekano mpya wa jezi yao ya nyumbani Reviewed by Zero Degree on 6/07/2017 04:32:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.