Loading...

Huyu ndiye Mkuu mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro

Rais John Magufuli amemteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Ikulu leo Jumamosi imesema kuwa Mgwira amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Saidi Meck Sadiki.

Katika taarifa hiyo Rais Magufuli pia amewateua Meja Jenerali Issah Suleiman na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi(DIGP), Abdlrahman Kaniki kuwa mabalozi.

Anna Mghwira [ACT wazalendo]
Huyu ndiye Mkuu mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro Huyu ndiye Mkuu mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro Reviewed by Zero Degree on 6/03/2017 07:00:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.